Grade 9 Kiswahili Scheme of Work (Maazimio ya Kazi) for Kenyan Teachers
This Grade 9 Kiswahili scheme of work covers 60 sub-strands across 4 strands (Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika and Sarufi) and about 120 lessons, following the KICD curriculum design. Each sub-strand has specific learning outcomes, a key inquiry question, suggested learning experiences, resources and assessment methods. Instant CBE writes Kiswahili schemes of work and lesson plans (mipango ya masomo) fully in Kiswahili.
Create my Grade 9 Kiswahili schemeStrands, sub-strands and lessons
| Sub-strand | Lessons |
|---|---|
| Kusikiliza na Kuzungumza | |
| Kusikiliza na Kujibu: Mjadala | 2 |
| Kusikiliza kwa Kina: Sauti /b/ na /mb/ | 2 |
| Semi: Tashbihi, sitiari na methali | 2 |
| Semi: Vitendawili na nahau | 2 |
| Ufahamu wa Kusikiliza (Theme 5) | 2 |
| Kusikiliza kwa Kufasiri | 2 |
| Kusikiliza kwa Kutathmini (Theme 7) | 2 |
| Uzungumzaji wa Kushawishi | 2 |
| Kusikiliza kwa Kina: Sauti /j/ na /nj/ | 2 |
| Mazungumzo: Malumbano ya Utani | 2 |
| Uzungumzaji katika Sherehe | 2 |
| Ufahamu wa Kusikiliza (Theme 12) | 2 |
| Mazungumzo: Mawaidha (Theme 13) | 2 |
| Mazungumzo: Mawaidha (Theme 14) | 2 |
| Kusikiliza kwa Kutathmini (Theme 15) | 2 |
| Kusoma | |
| Kusoma kwa Ufahamu: Simulizi | 2 |
| Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia (Theme 2) | 2 |
| Kusoma kwa Kina: Ushairi (Theme 3) | 2 |
| Kusoma kwa Ufasaha (Theme 4) | 2 |
| Kusoma kwa Ufahamu (Theme 5) | 2 |
| Kusoma kwa Kina: Ushairi (Theme 6) | 2 |
| Ufupisho (Theme 7) | 2 |
| Kusoma kwa Kina: Ushairi (Theme 8) | 2 |
| Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi | 2 |
| Kusoma kwa Kina: Ushairi (Theme 10) | 2 |
| Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia (Theme 11) | 2 |
| Kusoma kwa Ufasaha (Theme 12) | 2 |
| Kusoma kwa Kina: Ushairi (Theme 13) | 2 |
| Kusoma kwa Ufahamu (Theme 14) | 2 |
| Ufupisho (Theme 15) | 2 |
| Kuandika | |
| Viakifishi: Koloni na Semi koloni | 2 |
| Insha za Kiuamilifu: Barua ya Kirafiki | 2 |
| Insha za Kubuni: Masimulizi (Theme 3) | 2 |
| Insha za Kubuni: Masimulizi (Theme 4) | 2 |
| Insha za Kiuamilifu: Shajara (Theme 5) | 2 |
| Insha za Kubuni: Methali | 2 |
| Insha za Kubuni: Maelezo (Theme 7) | 2 |
| Viakifishi: Mabano na Kistari Kifupi | 2 |
| Insha za Kubuni: Masimulizi (Theme 9) | 2 |
| Barua ya Kuomba Kazi | 2 |
| Insha za Kubuni: Maelezo (Theme 11) | 2 |
| Hotuba ya Kushawishi | 2 |
| Insha za Kubuni: Maelezo (Theme 13) | 2 |
| Insha za Kiuamilifu: Shajara (Theme 14) | 2 |
| Kujibu Baruapepe | 2 |
| Sarufi | |
| Vihusishi: Vihusishi vya Mahali na Vihusishi vya Wakati | 2 |
| Vihusishi: Vihusishi vya -a Unganifu na Vihusishi vya Sababu | 2 |
| Vihusishi: Vihusishi Vilinganishi na Kihusishi na | 2 |
| Nyakati na Hali: -ki- ya masharti na -ka- ya kufuatana kwa vitendo | 2 |
| Hali za Masharti: Hali ya masharti -nge- na Hali ya masharti -ngali- | 2 |
| Vielezi: Vielezi vya Namna na Vielezi vya Wakati | 2 |
| Vielezi: Vielezi vya Mahali na Vielezi vya Idadi | 2 |
| Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya U-ZI na Ngeli ya YA-YA | 2 |
| Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi: Ngeli ya LI, KU, PA-KU-MU | 2 |
| Vinyume vya Vihusishi | 2 |
| Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya: Kutendana, Kutendeana na Kutendesha | 2 |
| Aina za Sentensi: Sentensi tata | 2 |
| Ukanushaji: Hali ya masharti -nge-, -ngali- na -ki- | 2 |
| Udogo na Ukubwa wa Nomino | 2 |
| Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa | 2 |
Sample: Kusikiliza na Kujibu: Mjadala (Kusikiliza na Kuzungumza strand)
Matokeo maalum yanayotarajiwa (specific learning outcomes)
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza mjadala.
- Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kuchangia mjadala.
- Kushiriki mjadala kwa kuzingatia vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kuchangia mijadala.
- Kuchangamkia kushiriki katika mijadala ya miktadha mbalimbali.
Swali dadisi: Je, unazingatia nini wakati wa kusikiliza na kuchangia mjadala?
Rasilimali: Chati, Michoro na picha, Mgeni mwalikwa, Vifaa vya kidijitali (k.v. tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video), Mti maneno, Kapu maneno, Vitabu mbalimbali. Tathmini: Kujibu maswali, Maigizo, Mijadala, Mazungumzo, Wanafunzi kufanyiana tathmini. Vipindi: 2.
Sample: Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa (Sarufi strand)
Matokeo maalum yanayotarajiwa (specific learning outcomes)
- Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa.
- Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ipasavyo katika matini.
- Kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku.
Swali dadisi: Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa? / Unazingatia nini unapoandika usemi halisi? / Unazingatia nini unapoandika usemi wa taarifa?
Rasilimali: Tarakilishi/vipakatalishi, Kinasasauti, Rununu, Projekta, Kapu maneno, Mti maneno, Kadi maneno, Picha za vitu mbalimbali, Michoro, Chati, Mabango, Sanamu, Nyenzo halisi. Tathmini: Kutambua k.m. kwenye orodha, Kuambatanisha maneno lengwa, Kujaza mapengo, Kutunga sentensi, Kazi mradi. Vipindi: 2.
Get your full Grade 9 Kiswahili scheme and lesson plans
Instant CBE turns this content into a weekly scheme of work and detailed lesson plans you can print, in minutes.
Open Instant CBE